sw_tn/gen/16/15.md

16 lines
546 B
Markdown

# Hajiri akamzalia
Ujio wa Hajiri kwa Sarai na Abramu unajitokeza wazi. Unaweza kufanya hivi kuwa wazi. "Kwa hiyo Hajiri alirudi na kuzaa"
# akamwita mwanawe, ambaye Hajiri amemzaa
"alimwita mtoto wake kwa Hajiri" au "alimuita wake na mtoto wa Hajiri"
# Abram alikuwa
Hii inatambulisha taarifa ya nyuma kuhusu umri wa Abramu ambapo vitu hivi vilipotokea. Lugha inaweza kuwa na namna maalumu ya kutaja taarifa ya nyuma.
# alipomzaa Ishmaeli kwa Abram
Hii inamaanisha "alimzaa mtoto wa Abramu, Ishmaeli." Lengo lipo kwa Abramu kupata mtoto.