# Hajiri akamzalia Ujio wa Hajiri kwa Sarai na Abramu unajitokeza wazi. Unaweza kufanya hivi kuwa wazi. "Kwa hiyo Hajiri alirudi na kuzaa" # akamwita mwanawe, ambaye Hajiri amemzaa "alimwita mtoto wake kwa Hajiri" au "alimuita wake na mtoto wa Hajiri" # Abram alikuwa Hii inatambulisha taarifa ya nyuma kuhusu umri wa Abramu ambapo vitu hivi vilipotokea. Lugha inaweza kuwa na namna maalumu ya kutaja taarifa ya nyuma. # alipomzaa Ishmaeli kwa Abram Hii inamaanisha "alimzaa mtoto wa Abramu, Ishmaeli." Lengo lipo kwa Abramu kupata mtoto.