sw_tn/gen/14/19.md

24 lines
599 B
Markdown

# Alimbariki
Mfalme Melkizedeki alimbariki Abramu.
# Abarikiwea Abramu na Mungu aliye juu sana, muumba wa mbingu na nchi
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Mungu aliye Juu Sana, Muumba wa mbingu na nchi, ambariki Abramu"
# mbingu
Hii ina maana ya sehemu ambayo Mungu huishi.
# Mungu aliye juu sana, ambaye amekupatia
"Mungu aliye juu sana, kwa sababu amekupatia". Msemo unaoanza na "ambaye amekupatia" unatueleza jambo zaidi kuhusu Mungu aliye juu sana.
# Abarikiwe Mungu aliye juu sana
Hii ni njia ya kumsifu Mungu.
# mikono yako
"ndani ya utawala wako" au "ndani ya uwezo yako"