# Alimbariki Mfalme Melkizedeki alimbariki Abramu. # Abarikiwea Abramu na Mungu aliye juu sana, muumba wa mbingu na nchi Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Mungu aliye Juu Sana, Muumba wa mbingu na nchi, ambariki Abramu" # mbingu Hii ina maana ya sehemu ambayo Mungu huishi. # Mungu aliye juu sana, ambaye amekupatia "Mungu aliye juu sana, kwa sababu amekupatia". Msemo unaoanza na "ambaye amekupatia" unatueleza jambo zaidi kuhusu Mungu aliye juu sana. # Abarikiwe Mungu aliye juu sana Hii ni njia ya kumsifu Mungu. # mikono yako "ndani ya utawala wako" au "ndani ya uwezo yako"