sw_tn/gen/14/13.md

32 lines
600 B
Markdown

# Mmoja ambaye alitoroka alikuja
"Mwanamume alitoroka vitani na kuja"
# Alikuwa anaishi
"Abramu alikuwa anaishi" Hii inatambulisha taarifa ya nyuma.
# walikuwa washirika wa Abram
"walikuwa washirika wa mkataba na Abramu" au "alikuwa na makubaliano ya amani na Abramu"
# ndugu yake
Hii inahusu mpwa wa Abramu Lutu
# wanaume waliofunzwa
"wanamume waliofunzwa kupigana"
# wanaume waliozaliwa nyumbani mwake
"wanamume waliozaliwa nyumbani mwa Abramu". Walikuwa watoto wa watumishi wa Abramu.
# akawafukuza
"akawafukuza"
# Dani
Huu ni mji wa kaskazini wa Kanaani, mbali ya kambi ya Abramu.