# Mmoja ambaye alitoroka alikuja "Mwanamume alitoroka vitani na kuja" # Alikuwa anaishi "Abramu alikuwa anaishi" Hii inatambulisha taarifa ya nyuma. # walikuwa washirika wa Abram "walikuwa washirika wa mkataba na Abramu" au "alikuwa na makubaliano ya amani na Abramu" # ndugu yake Hii inahusu mpwa wa Abramu Lutu # wanaume waliofunzwa "wanamume waliofunzwa kupigana" # wanaume waliozaliwa nyumbani mwake "wanamume waliozaliwa nyumbani mwa Abramu". Walikuwa watoto wa watumishi wa Abramu. # akawafukuza "akawafukuza" # Dani Huu ni mji wa kaskazini wa Kanaani, mbali ya kambi ya Abramu.