sw_tn/gen/13/12.md

12 lines
249 B
Markdown

# akaishi
"akatulia" au "akakaa"
# nchi ya Kanaani
"nchi ya watu wa Kanaani"
# Akatandaza hema zake hadi Sodoma
Maana zaweza kuwa 1) "alitandaza mahema yake karibu na Sodoma" au 2) "Alisogeza mahema yake kuzunguka eneo lililofika hadi Sodoma".