# akaishi "akatulia" au "akakaa" # nchi ya Kanaani "nchi ya watu wa Kanaani" # Akatandaza hema zake hadi Sodoma Maana zaweza kuwa 1) "alitandaza mahema yake karibu na Sodoma" au 2) "Alisogeza mahema yake kuzunguka eneo lililofika hadi Sodoma".