sw_tn/gen/13/03.md

12 lines
470 B
Markdown

# Aliendelea na safari yake
Abramu na familia yake walisafiri kwa hatua, kwenda kutoka sehemu hadi sehemu. Hii inaweza kufanywa wazi. "Waliendelea na safari yao"
# mahali ambapo hema yake ilikuwa tangu mwanzo
Watafsiri wanaweza kuweka maandishi machache yanayosema "Tazama Mwanzo 12:8." Muda wa safari yake unaweza kuwekwa wazi. "katika eneo alipotenga hema lake kabla hajakwenda Misri"
# akaliitia jina la Yahwe
"aliomba katika jina la Yahwe" au"alimuabudu Yahwe"