sw_tn/gen/12/17.md

20 lines
729 B
Markdown

# kwa sababau ya Sarai, mke wa Abramu
Hii inaweza kufanywa kwa uwazi zaidi. "Kwa kuwa Farao alitaka kumchua Sarai , mke wa Abramu, aweze kuwa mke wake mwenyewe"
# Farao akamwita Abramu
"Farao akamuita Abramu" au "Farao akamuamuru Abramu kuja kwake"
# Nini hiki ambacho umenifanyia?
Farao alitumia lugha hii ya balagha kuonyesha jinsi gani alivyokasirika juu ya kile Abramu alichomfanyia. Inaweza kuelezeka kwa namna ya mshangao. "Umedanya jambo baya kwangu!"
# Kisha Farao akatoa amri kwa watu wake kuhusiana naye
"Kisha Farao akawaongoza wakuu wake kuhusu Abramu"
# na wakamuondoa, yeye pamoja na mke wake na vyote alivyokuwa navyo
"na wakuu wakamfukuza Abramu kutoka kwa Farao, pamoja na mke wake na alivyokuwa navyo"