# kwa sababau ya Sarai, mke wa Abramu Hii inaweza kufanywa kwa uwazi zaidi. "Kwa kuwa Farao alitaka kumchua Sarai , mke wa Abramu, aweze kuwa mke wake mwenyewe" # Farao akamwita Abramu "Farao akamuita Abramu" au "Farao akamuamuru Abramu kuja kwake" # Nini hiki ambacho umenifanyia? Farao alitumia lugha hii ya balagha kuonyesha jinsi gani alivyokasirika juu ya kile Abramu alichomfanyia. Inaweza kuelezeka kwa namna ya mshangao. "Umedanya jambo baya kwangu!" # Kisha Farao akatoa amri kwa watu wake kuhusiana naye "Kisha Farao akawaongoza wakuu wake kuhusu Abramu" # na wakamuondoa, yeye pamoja na mke wake na vyote alivyokuwa navyo "na wakuu wakamfukuza Abramu kutoka kwa Farao, pamoja na mke wake na alivyokuwa navyo"