sw_tn/gen/12/08.md

16 lines
464 B
Markdown

# alipiga hema yake
Abramu alikuwa na watu wengi pamoja naye alipokuwa akisafiri. Watu waliokuwa wakihama kutoka sehemu moja hadi nyingine waliishi ndani ya mahema. "walitengeneza mahema yao"
# kuliitia jina la Yahwe
"waliomba kwa jina la Yahwe" au "kumuabudu Yahwe"
# Kisha Abram akaendelea kusafiri
"Kisha Abramu alichukua hema lake na kuendelea na safari"
# upande wa Negebu
"kuelekea eneo la Negebu" au "kuelekea kusini" au "kusini ya jangwa la Negebu"