# alipiga hema yake Abramu alikuwa na watu wengi pamoja naye alipokuwa akisafiri. Watu waliokuwa wakihama kutoka sehemu moja hadi nyingine waliishi ndani ya mahema. "walitengeneza mahema yao" # kuliitia jina la Yahwe "waliomba kwa jina la Yahwe" au "kumuabudu Yahwe" # Kisha Abram akaendelea kusafiri "Kisha Abramu alichukua hema lake na kuendelea na safari" # upande wa Negebu "kuelekea eneo la Negebu" au "kuelekea kusini" au "kusini ya jangwa la Negebu"