sw_tn/gen/11/27.md

8 lines
376 B
Markdown

# Hivi ndivyo vilikuwa vizazi vya Tera
Sentensi hii inatambulisha habari ya vizazi vya Tera. Mwanzo 11:27-25:11 unazungumzia kuhusu vizazi vya Tera, mahsusi mwanae Abrahamu. "Hii ni habari ya vizazi vya Tera"
# Harani akafa machoni pa baba yake Tera
Hii ina maana ya kwamba Harani alikufa wakati baba yake akiwa hai. "Harani alikufa wakati baba yake, Tera, alipokuwa naye"