sw_tn/gen/10/02.md

16 lines
417 B
Markdown

# Kutoka kwa hawa watu wa pwani waligawanyika na
"Wana wa yafethi na vizazi vyake waligawanyika na kuhamia pwani na visiwani"
# watu wa pwani
Hii ina maana ya watu waliokuwa wakiishi kando ya pwani na visiwani.
# ardhi zao
"makazi yao". Hizi ni sehemu ambazo watu waliohama waliishi.
# kila mtu na lugha yake
"Kila kundi la watu lilizungumza lugha yake" au " Makundi ya watu walijigawa kulingana na lugha zao"