# Kutoka kwa hawa watu wa pwani waligawanyika na "Wana wa yafethi na vizazi vyake waligawanyika na kuhamia pwani na visiwani" # watu wa pwani Hii ina maana ya watu waliokuwa wakiishi kando ya pwani na visiwani. # ardhi zao "makazi yao". Hizi ni sehemu ambazo watu waliohama waliishi. # kila mtu na lugha yake "Kila kundi la watu lilizungumza lugha yake" au " Makundi ya watu walijigawa kulingana na lugha zao"