sw_tn/gen/04/13.md

16 lines
388 B
Markdown

# sitaonekana mbele ya uso wako
Msemo wa "uso wako" unawakilisha uwepo wa Mungu. "Sitaweza kuzungumza na wewe"
# mkimbizi na mtu nisiye na makao
mtu asiye na makao
# kisasi kitakuwa juu yake mara saba
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Nitachukua kisasi juu yake mara saba" au "Nitamuadhibu mtu yule mara saba kwa ukali kama navyokuadhibu"
# asimshambulie
"hatamuua Kaini"