# sitaonekana mbele ya uso wako Msemo wa "uso wako" unawakilisha uwepo wa Mungu. "Sitaweza kuzungumza na wewe" # mkimbizi na mtu nisiye na makao mtu asiye na makao # kisasi kitakuwa juu yake mara saba Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Nitachukua kisasi juu yake mara saba" au "Nitamuadhibu mtu yule mara saba kwa ukali kama navyokuadhibu" # asimshambulie "hatamuua Kaini"