sw_tn/gen/01/01.md

28 lines
554 B
Markdown

# Hapo mwanzo, Mungu aliumba mbingu na nchi
"Hii inahusu jinsi gani Mungu aliumba mbingu na nchi hapo mwanzo." Kauli hii inafupisha sura iliyobaki. Lugha zingine huitafsiri kama "Hapo zamani sana Mungu aliziumba mbingu na nchi."
# Hapo mwanzo
Hii inalenga kuanza kwa dunia na kila kitu ndani mwake.
# mbingu na nchi
"anga, ardhi, na kila kitu ndani yao"
# mbingu
Hapa inamaanisha anga
# Bila umbo na tupu
Mungu alikuwa hajaweka dunia katika mpangilio.
# vilindi
"maji" au "maji ya kina kirefu" au "maji mengi"
# maji
"maji" au "uso wa maji"