sw_tn/gal/06/09.md

24 lines
403 B
Markdown

# Tusichoke katika kutenda mema
"Tunatakiwa kuendelea kutenda mema"
# kutenda mema
kufanya mema kwa ustawi wa watu wengine
# wakati wake
"kwa wakati muafaka" au " kwa wakati ambao Mungu ameuchagua"
# Hivyo basi,
"kama matoke ya" au "kwasababu ya "
# hasa kwa walio
"hasa kwa wale" au "mahususi kwa wale"
# walio ndani ya imani
"kwa wale walio wana familia ya Mungu kupitia imani katika Yesu"