# Tusichoke katika kutenda mema "Tunatakiwa kuendelea kutenda mema" # kutenda mema kufanya mema kwa ustawi wa watu wengine # wakati wake "kwa wakati muafaka" au " kwa wakati ambao Mungu ameuchagua" # Hivyo basi, "kama matoke ya" au "kwasababu ya " # hasa kwa walio "hasa kwa wale" au "mahususi kwa wale" # walio ndani ya imani "kwa wale walio wana familia ya Mungu kupitia imani katika Yesu"