sw_tn/gal/03/27.md

12 lines
451 B
Markdown

# wenyewe mmejivika Kristo
Maana zinazowezekana ni 1) "mmekuwa sawa kama na ubinadamu wa Kristo" au 2) " mmekuwa na mahusiano sawa na Mungu kama ya Kristo
# Hakuna Myahudi wala Myunani, mtumwa wala huru, mwanaume wala mwanamke,
Mungu anaona kuwa hakuna utofauti kati ya wayahudi na wayunani, mtumwa na mtu huru, mwanamme na mwanamke.
# warithi
Watu ambao Mungu amewapa ahadi wanaongelewa kama warithi wa mali na utajiri kutoka kwa mwana familia.