# wenyewe mmejivika Kristo Maana zinazowezekana ni 1) "mmekuwa sawa kama na ubinadamu wa Kristo" au 2) " mmekuwa na mahusiano sawa na Mungu kama ya Kristo # Hakuna Myahudi wala Myunani, mtumwa wala huru, mwanaume wala mwanamke, Mungu anaona kuwa hakuna utofauti kati ya wayahudi na wayunani, mtumwa na mtu huru, mwanamme na mwanamke. # warithi Watu ambao Mungu amewapa ahadi wanaongelewa kama warithi wa mali na utajiri kutoka kwa mwana familia.