sw_tn/ezr/09/13.md

670 B

matendo yetu maovu na makosa yetu makuu

najina :maovu" na "makosa" yanaweza kutafsiriwa kama majina na kivumishi. AT:"kwa sababu ya mambo mabaya tuliyofanya na kwa sababu tulikuwa na makosa"

hukutazama makosa yetu na kutuadhibu tulivyostahili na kutuacha kama mabaki

"ulikuwa na haki kama ungetuangamiza sote, lakini ukutuadhibu na matokeo yake ukatuacha tukiwa hai"

tunaweza kuvunja tena amri zako na kufanya...watu?

Hii inaweza kutafsiriwa kama maelezo.AT: "hili ni kosa kubwa sana kwamba baadhi tumevunja amri zako na kufanya ...watu."

huwezi kuwa na hasira....kutoroka?

Hii inaweza kutafsiriwa kama maelezo.AT:"ninaogopa kwamba utachukia....kutoroka"