sw_tn/ezr/09/13.md

16 lines
670 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# matendo yetu maovu na makosa yetu makuu
najina :maovu" na "makosa" yanaweza kutafsiriwa kama majina na kivumishi. AT:"kwa sababu ya mambo mabaya tuliyofanya na kwa sababu tulikuwa na makosa"
# hukutazama makosa yetu na kutuadhibu tulivyostahili na kutuacha kama mabaki
"ulikuwa na haki kama ungetuangamiza sote, lakini ukutuadhibu na matokeo yake ukatuacha tukiwa hai"
# tunaweza kuvunja tena amri zako na kufanya...watu?
Hii inaweza kutafsiriwa kama maelezo.AT: "hili ni kosa kubwa sana kwamba baadhi tumevunja amri zako na kufanya ...watu."
# huwezi kuwa na hasira....kutoroka?
Hii inaweza kutafsiriwa kama maelezo.AT:"ninaogopa kwamba utachukia....kutoroka"