# matendo yetu maovu na makosa yetu makuu najina :maovu" na "makosa" yanaweza kutafsiriwa kama majina na kivumishi. AT:"kwa sababu ya mambo mabaya tuliyofanya na kwa sababu tulikuwa na makosa" # hukutazama makosa yetu na kutuadhibu tulivyostahili na kutuacha kama mabaki "ulikuwa na haki kama ungetuangamiza sote, lakini ukutuadhibu na matokeo yake ukatuacha tukiwa hai" # tunaweza kuvunja tena amri zako na kufanya...watu? Hii inaweza kutafsiriwa kama maelezo.AT: "hili ni kosa kubwa sana kwamba baadhi tumevunja amri zako na kufanya ...watu." # huwezi kuwa na hasira....kutoroka? Hii inaweza kutafsiriwa kama maelezo.AT:"ninaogopa kwamba utachukia....kutoroka"