sw_tn/ezr/09/07.md

20 lines
610 B
Markdown

# siku za watangulizi wetu
"wakati ambapo watangulizi wetu walikuwa hai"
# katika maovu makuu...katika makosa yetu
Neno "maovu" na "makosa" yanaweza kutafsiriwa kama kitenzi na kitendo, respectively. AT:"maovukweli...Kwa sababu ya uovu tulioufanya:
# sisi...tulikabidhiwa kwenye mikono ya mfalme
Hii inaweza kutafsiriwa kwenye mfumo hai.AT:ulitupa sisi...kwenye mikono ya mfalme"
# kwa upanga
Upanga ni msemo wa watu kuua watu wengine. Mungu aliruhusu watu kuwaua wayahudi.
# matekani
Hili jina linaweza kutafsiriwa kama kitendo. Mungu aliruhusu watu kuwakamata wayahudi na kuwachukua na kuwapeleka.