sw_tn/ezr/09/07.md

610 B

siku za watangulizi wetu

"wakati ambapo watangulizi wetu walikuwa hai"

katika maovu makuu...katika makosa yetu

Neno "maovu" na "makosa" yanaweza kutafsiriwa kama kitenzi na kitendo, respectively. AT:"maovukweli...Kwa sababu ya uovu tulioufanya:

sisi...tulikabidhiwa kwenye mikono ya mfalme

Hii inaweza kutafsiriwa kwenye mfumo hai.AT:ulitupa sisi...kwenye mikono ya mfalme"

kwa upanga

Upanga ni msemo wa watu kuua watu wengine. Mungu aliruhusu watu kuwaua wayahudi.

matekani

Hili jina linaweza kutafsiriwa kama kitendo. Mungu aliruhusu watu kuwakamata wayahudi na kuwachukua na kuwapeleka.