sw_tn/ezr/08/35.md

20 lines
738 B
Markdown

# Wale waliorudi kutoka mateka...watu wa kifungoni
Hii misemo miwili inamaanisha wayahudi ambao walikuwa wakiishi Babeli utumwani na ambao walitoka Babeli na kurudi Yerusalem katika Yuda. AT:"wale waliorudi Yerusale kutoka kifungoni Babeli, watu wa matekani"
# kumi na mbili...tisini...sita...sabini na saba...kumi na mbili
sita...sabini-saba...kumi na mbili "12...96...77...12"
# maofisa katika mji ngambo ya mto
Hawa walikuwa ni maofisa wa Babeli waliokuwa wakiongoza watu magharibi ya mto Efrati, pamoja na watu walioishi Yuda.
# mji ngambo ya mto
hili ni jina la mji ambao ulikuwa magharibi ya mto Efrati. Ilikuwa ni kuvuka mto kutoka mji wa Susa. Ilijumuisha Yuda. angalia ulivyotafsiri katika 4:9
# Nyumba ya Mungu
hekalu