sw_tn/ezr/08/35.md

738 B

Wale waliorudi kutoka mateka...watu wa kifungoni

Hii misemo miwili inamaanisha wayahudi ambao walikuwa wakiishi Babeli utumwani na ambao walitoka Babeli na kurudi Yerusalem katika Yuda. AT:"wale waliorudi Yerusale kutoka kifungoni Babeli, watu wa matekani"

kumi na mbili...tisini...sita...sabini na saba...kumi na mbili

sita...sabini-saba...kumi na mbili "12...96...77...12"

maofisa katika mji ngambo ya mto

Hawa walikuwa ni maofisa wa Babeli waliokuwa wakiongoza watu magharibi ya mto Efrati, pamoja na watu walioishi Yuda.

mji ngambo ya mto

hili ni jina la mji ambao ulikuwa magharibi ya mto Efrati. Ilikuwa ni kuvuka mto kutoka mji wa Susa. Ilijumuisha Yuda. angalia ulivyotafsiri katika 4:9

Nyumba ya Mungu

hekalu