# Wale waliorudi kutoka mateka...watu wa kifungoni Hii misemo miwili inamaanisha wayahudi ambao walikuwa wakiishi Babeli utumwani na ambao walitoka Babeli na kurudi Yerusalem katika Yuda. AT:"wale waliorudi Yerusale kutoka kifungoni Babeli, watu wa matekani" # kumi na mbili...tisini...sita...sabini na saba...kumi na mbili sita...sabini-saba...kumi na mbili "12...96...77...12" # maofisa katika mji ngambo ya mto Hawa walikuwa ni maofisa wa Babeli waliokuwa wakiongoza watu magharibi ya mto Efrati, pamoja na watu walioishi Yuda. # mji ngambo ya mto hili ni jina la mji ambao ulikuwa magharibi ya mto Efrati. Ilikuwa ni kuvuka mto kutoka mji wa Susa. Ilijumuisha Yuda. angalia ulivyotafsiri katika 4:9 # Nyumba ya Mungu hekalu