sw_tn/ezr/08/28.md

392 B

Ndipo nikasema kwao

"Ndipo nikawaambia maofisa kumi na mbili wa kikuhani"

ndipo mtakapovipima mbele ya makuhani,walawi na viongozi

Walipofika Yerusalem , walipima fedha, dhahabu na vyombo ili kuonyesha kwamba hawakuchukua chochote kwa ajili yao binafsi.

Makuhani na Walawi

Kulingana na sheria ya Musa, kabila la Levi walikuwa na kazi ya kutunza hekalu, mali zake pamoja na sadaka.