# Ndipo nikasema kwao "Ndipo nikawaambia maofisa kumi na mbili wa kikuhani" # ndipo mtakapovipima mbele ya makuhani,walawi na viongozi Walipofika Yerusalem , walipima fedha, dhahabu na vyombo ili kuonyesha kwamba hawakuchukua chochote kwa ajili yao binafsi. # Makuhani na Walawi Kulingana na sheria ya Musa, kabila la Levi walikuwa na kazi ya kutunza hekalu, mali zake pamoja na sadaka.