sw_tn/ezr/08/28.md

12 lines
392 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ndipo nikasema kwao
"Ndipo nikawaambia maofisa kumi na mbili wa kikuhani"
# ndipo mtakapovipima mbele ya makuhani,walawi na viongozi
Walipofika Yerusalem , walipima fedha, dhahabu na vyombo ili kuonyesha kwamba hawakuchukua chochote kwa ajili yao binafsi.
# Makuhani na Walawi
Kulingana na sheria ya Musa, kabila la Levi walikuwa na kazi ya kutunza hekalu, mali zake pamoja na sadaka.