sw_tn/ezr/08/17.md

16 lines
473 B
Markdown

# Ido
hili ni jina la mtu
# Kilichofuata niliwatuma wao kwa Ido
Neno "wao" linamaanisha viongozi tisa na walimu wawili walioandikwa katika 8:15. AT:"kilichofuata niliwatuma wale wanaume kwa Ido"
# Kasifia
Hili ni jina la eneo
# niliwaambia wao chakusema kwa Ido..kwamba , kutumakwetu watumishi kwa ajili ya nyumba ya Mungu
Neno "kwamba" linaonyesha kuwa aliwaambia wao kusema. AT:"Niliwaambia wao kumwambia Ido...kutuma kwetu watumishi kwa ajili ya nyumba ya Mungu"