# Ido hili ni jina la mtu # Kilichofuata niliwatuma wao kwa Ido Neno "wao" linamaanisha viongozi tisa na walimu wawili walioandikwa katika 8:15. AT:"kilichofuata niliwatuma wale wanaume kwa Ido" # Kasifia Hili ni jina la eneo # niliwaambia wao chakusema kwa Ido..kwamba , kutumakwetu watumishi kwa ajili ya nyumba ya Mungu Neno "kwamba" linaonyesha kuwa aliwaambia wao kusema. AT:"Niliwaambia wao kumwambia Ido...kutuma kwetu watumishi kwa ajili ya nyumba ya Mungu"