sw_tn/ezr/08/17.md

473 B

Ido

hili ni jina la mtu

Kilichofuata niliwatuma wao kwa Ido

Neno "wao" linamaanisha viongozi tisa na walimu wawili walioandikwa katika 8:15. AT:"kilichofuata niliwatuma wale wanaume kwa Ido"

Kasifia

Hili ni jina la eneo

niliwaambia wao chakusema kwa Ido..kwamba , kutumakwetu watumishi kwa ajili ya nyumba ya Mungu

Neno "kwamba" linaonyesha kuwa aliwaambia wao kusema. AT:"Niliwaambia wao kumwambia Ido...kutuma kwetu watumishi kwa ajili ya nyumba ya Mungu"