sw_tn/ezr/08/12.md

32 lines
759 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Huu ni mwisho wa orodha ya majina ya wanaume
# wana wa Azgadi,Yohana mwana wa Hakatani
Hii ni kitu kinachofuata katika orodha. Inaweza kuandikwa pamoja na kitenzi "ilikuwa" AT:"Kiongozi wa wana wa Azgadi alikuwa Yohana mwana wa Hakatani" au "Yohana mwana wa Hakkatani alikuwa kiongozi wa wana wa Azgadi"
# na pamoja naye walikuwa wameorodheshwa wanaume 110
"na pamoja na Yohana waliorodheshwa wanaume 110"
# Wale wa wana wa adinikamu
Neno "wale" linamaanisha viongozi. AT:"Viongozi wa wana wa Adonikamu"
# AZgadi
Tafsiri jina hili la mtu kama ulivyofanya katika 2:11
# Adonikamu
Tafsiri jina hili la mtu kama ulivyofanya katika 2:11
# Bigvai
Tafsiri jina la mtu huyu kama ulivyofanya katika 2:1
# sitini...sabini
"60...70"