forked from WA-Catalog/sw_tn
759 B
759 B
Taarifa kwa ujumla
Huu ni mwisho wa orodha ya majina ya wanaume
wana wa Azgadi,Yohana mwana wa Hakatani
Hii ni kitu kinachofuata katika orodha. Inaweza kuandikwa pamoja na kitenzi "ilikuwa" AT:"Kiongozi wa wana wa Azgadi alikuwa Yohana mwana wa Hakatani" au "Yohana mwana wa Hakkatani alikuwa kiongozi wa wana wa Azgadi"
na pamoja naye walikuwa wameorodheshwa wanaume 110
"na pamoja na Yohana waliorodheshwa wanaume 110"
Wale wa wana wa adinikamu
Neno "wale" linamaanisha viongozi. AT:"Viongozi wa wana wa Adonikamu"
AZgadi
Tafsiri jina hili la mtu kama ulivyofanya katika 2:11
Adonikamu
Tafsiri jina hili la mtu kama ulivyofanya katika 2:11
Bigvai
Tafsiri jina la mtu huyu kama ulivyofanya katika 2:1
sitini...sabini
"60...70"