sw_tn/ezr/07/27.md

20 lines
597 B
Markdown

# Maelezo ya kuhusisha
Ezra anamtukuza Mungu kwa sababu ya agizo la mfalme Artashasta
# aliweka ndani ya moyo wa mfalme ili kumtukuza nyumba ya Yahwe katika Yerusalem
kuweka vitu ndani ya moyo wa mfalme inamaaanisha kusababisha yeye kuwa mawazo na matakwa. AT:"kusababisha mfalme kutaka kumtukuza nyumba ya Yahwe katika Yerusalem
# Nyumba ya Yahwe
Hii inamaanisha hekalu la Yahwe
# Nilitiwa nguvu
kutiwa nguvu inamaanisha kutiwa moyo. AT"Nimetiwa moyo"
# kwa mkono wa Yahwe Mungu wangu
Hapa mkono wa Mungu inamaanisha alichokifanya kumsaidia Ezra. AT:"kwa sababu Yahwe amenisaidia mimi"