sw_tn/ezr/07/27.md

597 B

Maelezo ya kuhusisha

Ezra anamtukuza Mungu kwa sababu ya agizo la mfalme Artashasta

aliweka ndani ya moyo wa mfalme ili kumtukuza nyumba ya Yahwe katika Yerusalem

kuweka vitu ndani ya moyo wa mfalme inamaaanisha kusababisha yeye kuwa mawazo na matakwa. AT:"kusababisha mfalme kutaka kumtukuza nyumba ya Yahwe katika Yerusalem

Nyumba ya Yahwe

Hii inamaanisha hekalu la Yahwe

Nilitiwa nguvu

kutiwa nguvu inamaanisha kutiwa moyo. AT"Nimetiwa moyo"

kwa mkono wa Yahwe Mungu wangu

Hapa mkono wa Mungu inamaanisha alichokifanya kumsaidia Ezra. AT:"kwa sababu Yahwe amenisaidia mimi"