# Maelezo ya kuhusisha Ezra anamtukuza Mungu kwa sababu ya agizo la mfalme Artashasta # aliweka ndani ya moyo wa mfalme ili kumtukuza nyumba ya Yahwe katika Yerusalem kuweka vitu ndani ya moyo wa mfalme inamaaanisha kusababisha yeye kuwa mawazo na matakwa. AT:"kusababisha mfalme kutaka kumtukuza nyumba ya Yahwe katika Yerusalem # Nyumba ya Yahwe Hii inamaanisha hekalu la Yahwe # Nilitiwa nguvu kutiwa nguvu inamaanisha kutiwa moyo. AT"Nimetiwa moyo" # kwa mkono wa Yahwe Mungu wangu Hapa mkono wa Mungu inamaanisha alichokifanya kumsaidia Ezra. AT:"kwa sababu Yahwe amenisaidia mimi"