sw_tn/ezr/07/19.md

20 lines
537 B
Markdown

# Maelezo ya kuhusisha
hii inaendeleza agizo ambalo mfalme Artashasta alimpa Ezra.
# vitu ambavyo ulipewa kwa hiari wew
Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:"Vitu ambavyo tumevitoa kwa hiari kwako"
# Viweke vitu...mbele yake yeye
Neno "yeye" linamaanisha Mungu
# kwa huduma ya nyumba ya Mungu wako
Neno "huduma" linaweza kuelezwa kwa kitendo "kuhudumia" au "kutumia" "kazi" au "kuabudu" AT:"kutumia katika nyumba ya Mungu wako" au :kutumika katika nyumba ya Mungu wako"
# hazina
sehemu ya usalama ambapo fedha inatunzwa