sw_tn/ezr/07/19.md

537 B

Maelezo ya kuhusisha

hii inaendeleza agizo ambalo mfalme Artashasta alimpa Ezra.

vitu ambavyo ulipewa kwa hiari wew

Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:"Vitu ambavyo tumevitoa kwa hiari kwako"

Viweke vitu...mbele yake yeye

Neno "yeye" linamaanisha Mungu

kwa huduma ya nyumba ya Mungu wako

Neno "huduma" linaweza kuelezwa kwa kitendo "kuhudumia" au "kutumia" "kazi" au "kuabudu" AT:"kutumia katika nyumba ya Mungu wako" au :kutumika katika nyumba ya Mungu wako"

hazina

sehemu ya usalama ambapo fedha inatunzwa