# Maelezo ya kuhusisha hii inaendeleza agizo ambalo mfalme Artashasta alimpa Ezra. # vitu ambavyo ulipewa kwa hiari wew Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:"Vitu ambavyo tumevitoa kwa hiari kwako" # Viweke vitu...mbele yake yeye Neno "yeye" linamaanisha Mungu # kwa huduma ya nyumba ya Mungu wako Neno "huduma" linaweza kuelezwa kwa kitendo "kuhudumia" au "kutumia" "kazi" au "kuabudu" AT:"kutumia katika nyumba ya Mungu wako" au :kutumika katika nyumba ya Mungu wako" # hazina sehemu ya usalama ambapo fedha inatunzwa