sw_tn/ezr/07/17.md

12 lines
494 B
Markdown

# maelezo ya kuhusisha
Hii inaendelea na agizo ambalo mfalme Artashasta alimpa Ezra
# Basi ununue vyote...sadaka
msemo"vyote" inamaanisha vingi na vya muhimu kumalizia kazi. Walipaswa kutumia dhahabu na fedha kununua vyote vinavyohitajika ili kumwabudu mungu katiak hekalu. AT:"Nunua vingi kondoo, beberu,unga na sadaka ya vinywaji kama inavyohitajika"
# wewena ndugu zako
Msemo "ndugu zako" inamaanisha watu ambao walifanya kazi pamoja na Ezra. AT:"watumishi wenzako" au "washirika wako"