sw_tn/ezr/07/17.md

494 B

maelezo ya kuhusisha

Hii inaendelea na agizo ambalo mfalme Artashasta alimpa Ezra

Basi ununue vyote...sadaka

msemo"vyote" inamaanisha vingi na vya muhimu kumalizia kazi. Walipaswa kutumia dhahabu na fedha kununua vyote vinavyohitajika ili kumwabudu mungu katiak hekalu. AT:"Nunua vingi kondoo, beberu,unga na sadaka ya vinywaji kama inavyohitajika"

wewena ndugu zako

Msemo "ndugu zako" inamaanisha watu ambao walifanya kazi pamoja na Ezra. AT:"watumishi wenzako" au "washirika wako"