# maelezo ya kuhusisha Hii inaendelea na agizo ambalo mfalme Artashasta alimpa Ezra # Basi ununue vyote...sadaka msemo"vyote" inamaanisha vingi na vya muhimu kumalizia kazi. Walipaswa kutumia dhahabu na fedha kununua vyote vinavyohitajika ili kumwabudu mungu katiak hekalu. AT:"Nunua vingi kondoo, beberu,unga na sadaka ya vinywaji kama inavyohitajika" # wewena ndugu zako Msemo "ndugu zako" inamaanisha watu ambao walifanya kazi pamoja na Ezra. AT:"watumishi wenzako" au "washirika wako"