sw_tn/ezr/07/14.md

24 lines
960 B
Markdown

# Maelezo ya kuhusisha
Hii inaendelea na agizo la mfalme Artashasta alilompa ezra
# Mimi, mfalme, na washauri wangu saba
neno "mimi" na msemo "Mfalme" linamaanisha mtu huyo huyo. Mfalme anakumbusha watu ambao watasikia barua kwamba yeye ndio mhusika wa hiyo barua.
# kufahamu kuhusu Yuda na Yerusalem kuhusiana na sheria ya Mungu
kitu ambacho walitakiwa kuhulizia kinaweza kuelezewa vizuri zaidi. AT:"kuchunguza mwenendo katika Yuda na Yerusalem, ili kujifunza endapo au awatii sheria za Mungu"
# Inakupasa kuleta dhahabu na fedha
Kitu walichoambiwa kuleta kinaweza kuelezwa vizuri.AT:"Inakupasa kuleta Yerusalem fedha na dhahabu"
# fedha na dhahabu ambazo walitoa kwa hiari
"Hiari" inamaanisha hawakulazimishwa kutoa fedha. Walitoa kwa sababu walitaka. AT:"dhahabu na fedha ambazo walihiari kutoa"
# Kitu gani cha hiari kilichotolewa na watu pamoja na makuhani
Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo hai. AT:"Kitu gani watu na makuhani walitoa kwa hiari"