# Maelezo ya kuhusisha Hii inaendelea na agizo la mfalme Artashasta alilompa ezra # Mimi, mfalme, na washauri wangu saba neno "mimi" na msemo "Mfalme" linamaanisha mtu huyo huyo. Mfalme anakumbusha watu ambao watasikia barua kwamba yeye ndio mhusika wa hiyo barua. # kufahamu kuhusu Yuda na Yerusalem kuhusiana na sheria ya Mungu kitu ambacho walitakiwa kuhulizia kinaweza kuelezewa vizuri zaidi. AT:"kuchunguza mwenendo katika Yuda na Yerusalem, ili kujifunza endapo au awatii sheria za Mungu" # Inakupasa kuleta dhahabu na fedha Kitu walichoambiwa kuleta kinaweza kuelezwa vizuri.AT:"Inakupasa kuleta Yerusalem fedha na dhahabu" # fedha na dhahabu ambazo walitoa kwa hiari "Hiari" inamaanisha hawakulazimishwa kutoa fedha. Walitoa kwa sababu walitaka. AT:"dhahabu na fedha ambazo walihiari kutoa" # Kitu gani cha hiari kilichotolewa na watu pamoja na makuhani Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo hai. AT:"Kitu gani watu na makuhani walitoa kwa hiari"